Jumamosi, Oktoba 19

ZAMASTREET: Maajabu:Rock Restaurant, Mgahawa Uliojengwa Juu Ya Mwamba Baharini Visiwani Zanzibar




Duniani kuna maajabu mengi,kati ya maajabu hayo ni huu mgahawa uitwao Rock uliopo visiwani Zanzibar uliojengwa juu ya mwamba mkubwa katika bahari ya Hindi


Mgahawa huo ulifunguliwa rasmi mwaka jana na kuna viti 45 ambapo wateja huchukuliwa na boti maalum kutoka pwani hadi kupata huduma katika mgahawa huo ili wasikanyage maji wakati wakiingia kwenye mgahawa huo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni