ZAMASTREET
HERE IS WHERE ALL ENTERTAINMENT NEWS ARE LIVE.
Kurasa
HOME
NEWS
MUSIC
VIDEOS
EVENTS
PICTURES
BIOS
Jumamosi, Oktoba 19
ZAMASTREET: DIMPOZ: BONGO TUNALIPWA VIZURI KULIKO NJE
Msanii anayefanya vizuri kwenye anga la muziki Bongo, Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amefunguka kuwa shoo wanazofanya wasanii hapa nyumbani zinalipa zaidi kuliko zile za nje.
Ommy Dimpoz amesema kuwa, kulipwa mkwanja mdogo kwenye shoo hizo za mamtoni inatokana na idadi ya watu wachache wanaoingia kwenye shoo tofauti na Bongo ambako watu huwa nyomi.
“Naweza kusema hapa nyumbani tunalipwa pesa nyingi kuliko ile tunayopata tunapofanya shoo nje, inategemea pia unaenda kufanya shoo wapi lakini ukweli unabaki kuwa hapa Bongo tunalipwa vizuri,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni