Future msanii ambaye ni boyfriend wa Ciara, zilitoka taarifa kwamba
ametoswa kwenye tour ya Drake iliyopewa jina la “Would You Like a Tour”. Kabla
ya kutolewa ilitangazwa kwamba atakuwepo kwenye hiyo tour. Future alichukua
hatua za kufungua mashataka akitaka kulipwa fidia dola 1.5 million baada ya
kutolewa.
Lakini kwenye show ya kwanza ya tour hiyo ambayo ilifanyika
huko Pittsburgh, mashabiki walishuhudia show ya Future kitu ambacho kina
tafsiriwa kwamba Drake amemrudisha Future kwenye list ya wasanii watakaofanya
tour hiyo. Unaambiwa Future angekosa ku-make pesa sana
kama angeikosa hii tour kwasababu ina show za
kutosha ambazo zinamuigizia pesa. Hiyo pia ilikuwa sababu kubwa ya kufungua
mashataka ya kudai fidia ya dola 1.5 million baada ya kutangazwa kwamba
ametolewa kwenye tour
Show ya Future kwenye “Would you like a tour”
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni