Ni picha ambazo Ommy Dimpoz amezitoa Exlcusive kwa zamastreet.blogspot.com
la hii Mark X aliyoiagiza kutoka Japan kwa gharama isiyopungua milioni 30 za
Kitanzania, kuna video yake inakuja na itapatikana hapa zamastreet.blogspot.com
pia
Ommy Dimpoz mara nyingi amekua mtu wa kutopenda kutangaza mali zake ila
Camera za ZAMASTREET zilikutana nae
Jaffarai Car wash Mikocheni Dar es salaam na kumuomba kupata pichaz, aliruhusu
iwe hivyo kwa mtu wa nguvu ndio maana hizi picha zikafika hapa.
Anakwambia pesa yote iliyotumika kulinunua hili gani ni pesa
iliyotokana na muziki peke yake, muziki wa bongofleva anaoufanya Ommy……. ili
kupata pichaz nyingine za Exclusive pamoja na video, pia taarifa nyingine
mbalimbali endelea kufuatilia mtandao wetu.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni