Stay tune hapa hapa kwani wimbo huu
nimepata bahati yakuusikiliza ni mzuri sana
kwani Solo amemzungumzia Mdudu jinsi anavyozingua kwenye jamii. Katika wimbo huu
Solo ameimba verse 3 na kwenye chorus ndio akamwachia mdogo wake katika game Mr
Blue apige msumari wa mwisho. Ni Ijumaa hii tarehe 25 mzigo utakuwa hewani
kuanzia saa sita usiku pale tarehe itakavyobadilika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni