Ijumaa ya week ijayo tarehe 1 msanii wa
Hip Hop nchini atakuwa anasherehekea siku yake yakuzaliwa pande za Hood yake
Tabata. Moxie amesema mbali na kusherehekea siku yake yakuzaliwa hiyo pia
anatakuwa akizindua video ke mpya kabisa inayokwenda kwa jina la PIGA MAKOFI.
Ameomba ndugu jamaa na marafiki kujitokeza siku hiyo kwani kiingilio ni sawa na
bure shilling elfu 5 tu na utapata BBQ bureeeeeeeee huku ukipata huduma nzuri
kabisa kutoka kwa wahudumu waliobobea kwenye kazi yao hapo VIENA PUB iliyopo
Tabata
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni