Jumapili, Oktoba 27

News: Ulikua unajua kuwa Ney wa Mitego ndio msanii pekee aliyepigwa marufuku kuvaa mlegezo akiwa jukwaani na BASATA






Ney wa Mitego ambae ni staa wa single za ‘muziki gani’ na ‘salamu zao’ amethibitisha kupewa barua na baraza la sanaa Tanzania ikiwa ni onyo la kutoendelea kuvaa suruali mlegezo kwenye majukwaa mbalimbali anayoonekana. Kwenye interview yake na ZAMASTREET.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni