Ijumaa, Oktoba 25

AJABU NA KWELI!! HIVI NDIVYO POLISI WALIVYO MKAMATA NEY WAMITEGO NA KUMSWEKA SERO....





Video ya Wimbo wa Ney wa Mitego “Salamu Zao” umenpelekea kukamatwa na askari kama inavyoonekana pichani na kupelekwa sero kituo cha Urafiki, kwa kosa la kutumia jezi za askari wa kitanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni