Jumapili, Oktoba 27

News: Baba yake mzazi Wema Sepetu afariki dunia asubuhi ya leo




Taarifa zilizopo kwa sasa, zinaeleza kuwa Balozi Issac Abraham Sepetu ambaye pia ni Baba mzazi wa Miss Tanzania 2006,Wema Sepetu.Amefariki Dunia asubuhi ya leo kwenye hospitali ya TMJ mikocheni alikua akisumbuliwa kwa ugonjwa wa kisukari na kiharusi…

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni