Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni
ya Azam Media,Rhys Torrington akizungumza na baadhi ya Waandishi wa habari
waliopata fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo juu ya
uanzishwaji wa Televisheni yao ya Azam TV yenye muonekano wa
kisasa zaidi na yenye lengo la kukuza michezo mbali mbali hapa nchini,zilizopo
eneo la Tazara jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni
ya Azam Media,Rhys Torrington akionyesha
King'amuzi cha Azam TV kwa baadhi ya Waandishi wa habari (hawapo pichani)
waliopata fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo,zilizopo
eneo la Tazara jijini Dar es Salaam
jana.
Baadhi wa Wakuu wa Idara
mbali mbali za Kampuni ya Azam Media wakimsikiliza Mkurugenzi wao.
Meneja wa Huduma kwa
Wateja wa Kampuni ya Azam Media,Loth Mziray (kulia) akifafanua jambo kwa baadhi
ya Waandishi wa habari waliopata fursa ya kufanya ziara ya kutembelea Ofisi za
Kampuni hiyo,zilizopo eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wafanyakazi wa
Kampuni ya Azam Media (Kitengo cha huduma kwa Wateja) wakiwajibika.
Meneja Uzalishaji na
Ufundi wa Kampuni ya Azam Media,Mehboob Aladdad akionyesha moja ya mixer za
sauti zilizopo ndani OB Van ya Azam TV ambayo ni ya kisasa na yenye vigezo vya
kimataifa,wakati wa ziara ya waandishi wa habari kutembelea Ofisi za Kampuni hiyo,zilizopo
eneo la Tazara jijini Dar es Salaam.
Wazee wa Kazi ndani ya OB
Van la Azam Tv,toka kulia ni Meneja Uzalishaji na Ufundi wa Kampuni ya Azam
Media,Mehboob Aladdad,Meneja wa Azam FM na Matukio ya Moja kwa Moja,Yahya
Mohamed pamoja na Fundi Mitambo wa OB Van hiyo,Saleh Mansoor (alieketi) wakifatilia
moja ya kazi zao.
OB Van ya Azam TV ikiwa imetukia tayari
kwa lolote.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni