Ijumaa, Oktoba 25

Ile movie inayoonyesha maisha ya Steve Jobs mwanzilishi wa kampuni ya Apple, kuanza kuonyeshwa wiki hii hapa Tanzania




Jobs ni movie ambayo inazungumzia maisha  ya Steve Jobs founder wa kampuni ya Apple. Movie hii inaonyesha jinsi uvumbuzi wa computer za Mac ulifanyika pamoja na misukosuko aliyopita Steve Jobs kwenye kampuni ya Apple. Pamoja na movie hii kuanza kuonyeshwa wiki hii hapa Tanzania, cheki hapa kuna ratiba ya movie nyngine

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni