Jumatatu, Oktoba 21

ZAMASTREET: Ili kuweza kutanua soko la biashara PROF JAY leo akabidhiwa kitu hiki.




Kampuni ya GS1 TANZANIA leo imeweza kumkabidhi PROF JAY msanii wa Hip Hop nchini na mkongwe katika mziki huu wa nyumbani BARCODE ili kuweza kutanua zaidi soko lake la biashara. Prof Jay mbali na uwimbaji pia anamiliki studio yake mpya inayoitwa MWANALIZOMBE pamoja na saloon ya kiume ya kunyoa.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni