Jumapili, Oktoba 27

KANYE WEST NA KIM KUSIGN MKATABA WA KILA MTU NA MALI ZAKE WAKIOANA...HAKUNA KUSHARE





Hii ni kali ya mwaka imegundulika kuwa Kanye West na Kim Kardashiam wamekubaliana kusign mkataba ambao endapo wataoana kwa ndoa hivi karibuni basi kila mtu atakuwa na mali zake kivyake ili endapo wakiachana wasigawane mali jambo ambalo huleta vita sana katika mahusiano ya ndoa endapo
yatavunjika.....Katika hilo watakuwa na account moja tu ya kuendesha familia ambayo watakuwa wanachangia ...Je wewe walionaje hilo ? linafaa hapa Bongo ?

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni